Akikusimamisha mwenye risiti ya ushuru mwambie akalime. Mahindi, Mpunga na chochote utakachopakia zaidi ya tani 1 ndio ulipe. #JPMKorogwe.
— millard ayo (@millardayo) August 7, 2017
Rais Magufuli amesema hawezi kukaa madarakani kwenye Urais kwa miaka 20 kama alivyoombwa kwasababu ni kinyume na katiba. #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/60c9QUcJy2
— millard ayo (@millardayo) August 7, 2017
Hakuna mtu mwenye uwezo wa kuteremsha kila kitu. Mungu mwenyewe alitumia siku 6 kuumba Dunia nyinyi shikamaneni na mchape kazi. #JPMKorogwe.
— millard ayo (@millardayo) August 7, 2017
Mtaji wa Masikini ni nguvu zake mwenyewe, mnayoyafanya ni kitu kizuri achaneni na hawa wababishaji. #JPMKorogwe.
— millard ayo (@millardayo) August 7, 2017
Serikali itasimamia maendeleo mengine yote ujenzi wa reli, barabara, umeme, elimu bure na mpaka watakaoenda Chuo Kikuu. #JPMKorogwe.
— millard ayo (@millardayo) August 7, 2017
Kuanzia mwaka huu wakulima walikuwa na tozo zaidi ya 80 walizokilipa kwa mazao yao tumeamua ugonjwa wa ushuru tuupunguze nguvu. #JPMKorogwe.
— millard ayo (@millardayo) August 7, 2017
Kwenye mifugo tozo 7 tumezifuta, uvuvi tozo 5 tumzifuta. Nataka wakulima, wafugaji na wavuvi waweze kufaidika na nguvu zao. #JPMKorogwe.
— millard ayo (@millardayo) August 7, 2017
Tulifanya mabadiliko 2015 mabadiliko haya ya kulipia VAT ya kila kitu yameleta madhara makubwa. #JPMKorogwe.
— millard ayo (@millardayo) August 7, 2017
JPM KOROGWE: “Siyo miaka 20 ya Urais, hilo haliwezekani nitaheshimu Katiba”