Kwa zaidi ya wiki mbili sasa mchezaji wa Azam FC ambaye aliitwa kwenye kikosi cha Taifa Stars Shaban Iddi yupo Cape Town Afrika Kusini akipatiwa matibabu, baada ya kuchanika nyama, Shabani Iddi amepatia matibabu na tayari anaendelea vizuri.
AyoTV imempata katika exclusive akizungumza na afisa habari wa Azam FC Jafari Iddi akielezea kuhusiana na hali yake.
Video ya dakika 3 ya magoli ya Taifa Stars vs Botswana September 1 2017, Full Time 2-0