Jioni ya saa kumi September 16 2017 moto ulizuka kwenye nyumba ya kuishi ya Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe huko Mwandiga Kigoma na mpaka saa kumi na mbili Wananchi na Zimamtoto walifanikiwa kuuzima huku kukiwa hakuna aliejeruhiwa.
Baada ya moto huo kuteketeza nyumba ya Mbunge huyu ambayo aliijenga baada ya kupata Ubunge mwaka 2005, ameandika yafuatayo kuhusu tukio la leo.
VIDEO: Tazama hii video hapa chini kuona jinsi nyumba hiyo ilivyoteketea kwa moto
VIDEO: Mtazame Yusuf Manji nje ya Mahakama baada ya Mahakama kumuachia huru, bonyeza play hapa chini kumtazama
.
.