Taarifa iliyoripotiwa January 25, 2018 ni kuhusu King Majuto ambapo ilisemakana kuwa amelazwa Muhimbili, sasa Ayo Tv na Millardayo.com imempata Masoud aliyetoa taarifa hiyo ambaye ni Afisa habari wa Chama cha Waigizaji ameelezea kuhusu Majuto kukosa kitanda Muhimbili na kurudishwa nyumbani.
Masoud amesema kuwa kwa sasa Majuto anaishi Vingunguti kwa ndugu zake ila January 26, 2018 anaripoti hospitali kwa ajili ya vipimo na kinachomsumbua kikubwa ni Presha kwani mwili wake ulikuwa umechoka sana na bado Madaktari wanampima ilikujua tatizo kubwa ni nini.?
Bonyeza PLAY hapa chini kutazama FULL VIDEO
“Nabii Tito namfahamu kabla haja-trend mitandaoni”– MC Pilipili