Muda huu kupitia AyoTV tunakuletea LIVE matangazo ya kuagwa kwa Mwili wa Mwanasiasa Mkongwe nchini Mzee Kingunge Ngombale Mwiru unaagwa katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam
BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA LIVE
MAZISHI JUMATATU: Bado Haijulikani ni Dini gani itamzika Mzee Kingunge?