Leo March 17, 2018 stori ninayokusogezea ni kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi imezindua rasmi zoezi la sensa kwa wavuvi nchi nzima ikiwa na lengo la kutambua idadi ya wavuvi pamoja na kuwapa semina za uvuvi rasmi.
Akizungumza na AyoTV na millardayo.com Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya maendeleo Uvuvi Fatuma amesema wanapanga kufanya sensa ya uvuvi kuanzia mkoani Tanga mpaka Mtwara ambapo wataweza kufahamu idadi ya wavuvi, vyombo vya uvuvi na mahitaji.
Maneno ya Mstaafu Kikwete kwa IGP Sirro ‘Watanzania ninaowapenda sana’
Baba alieshtakiwa Polisi na Mwanae azungumzia kifo cha Mama Anthony, watoto 20