By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
Millard AyoMillard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2024 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Wanafunzi 23 wamefukuzwa chuo kwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Millard AyoMillard Ayo
Font ResizerAa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2024 MILLARD AYO. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Wanafunzi 23 wamefukuzwa chuo kwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi
Top Stories

Wanafunzi 23 wamefukuzwa chuo kwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi

Published April 24, 2018
Share
1 Min Read
SHARE

Chuo Kikuu cha Kiislamu nchini Uganda kimewafukuza wanafunzi wake 23 kwa madai ya kujihusisha na mahusiano ya kimapenzi jambo ambalo ni kinyume na kanuni za taasisi hiyo.

Mratibu wa chuo hicho, Dk. Sulait Kabali, ambaye pia ni Katibu wa Kamati ya Nidhamu, aliliambia gazeti la Daily Monitor kuwa wanafunzi hao wamefukuzwa kwa kuwa na mahusiano na kufanya mapenzi kwenye eneo la chuo.

Maamuzi hayo ya kuwafukuza wanafunzi hao yalifanywa na Kamati ya Nidhamu ya chuo hicho.

Watuhumiwa 24 wa Ugaidi wamekata rufaa mahakama kuu

 

TAGGED:TZA HABARI
Share This Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Kwa mara kwanza ndege Airbus ya kampuni Emirates imetua DSM
Next Article VIDEO:Mlemavu aliyemkosha Chris Brown kwa kucheza
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 15, 2024
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 15, 2024
TRA Iringa yawashukuru walipa kodi wake
TRA mkoa wa Iringa yazidi kudumisha mahusiano na wafanyabiashara
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US
© 2024 MILLARD AYO. All Rights Reserved. Designed by Ayo.

Lost your password?