Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana Anthony Mavunde ametoa msaada wa babaji yenye thamani ya zaidi shilingi Milion 7 kwa kijana Dominic Oscar mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) ambaye ni mlemavu wa miguu na mikono ili iweze kumsaidia katika shughuli zake za kila siku ikiwemo katika masomo yake.
Maagizo makubwa matatu ya RC Dodoma kwa wakuu wapya wa Wilaya