Ni saa zimepita tokea Jokate Mwegelo afanye maamuzi kufuta picha zake kupitia ukurasa wake wa instagram baada ya kuapishwa rasmi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe August 3,2018 na mkuu wa Mkoa wa Pwani Evarist Ndiliko.
Ukurasa huo wa instagram Jokate alikuwa akiiutumia kushare picha zake binasi pamoja na za biashara zake za “Kidoti”. Kutokana na maamuzi haya aliyoyafanya Jokate inawezekana ameamua kuanza upya kujibrand kama kiongozi na sio kama mwanamitindo tena.
MHESHIMIWA JOKATE ALIVYOKABIDHIWA OFISI YA UKUU WA WILAYA KISARAWE