Ni yuleyule staa ambae umiliki wake wa headlines kwenye muziki ni mzito kuliko waimbaji wote aliowahi kuwa nao kwenye kundi moja.
Video hii saa kadhaa baada ya kuachiwa tayari ilikua imetazamwa zaidi ya mara laki moja na watu mbalimbali duniani huku comments zikiwa zaidi ya elfu nne.