Baada ya kupokea taarifa kutoka kwa msanii Ommy Dimpoz kuhusu hali yake na jinsi alivyopatiwa matibabu huko Afrika Kusini, Ayo TV na millardayo.com imemtafuta Doctor Robert Mongi ambaye amefafanua kuhusu Ugonjwa aliougua msanii Ommy Dimpoz pamoja na baaadhi ya mambo kuhusu Ugonjwa huo.
Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO
VIDEO: MC aliekula kichapo kwa wanakamati wa harusi akimbia mahojiano
https://youtu.be/UG76MNrbQGQ