Moja ya Story ambazo ziliwai kusambaa mtandaoni hivi karibuni ni kuhusu Chalz Baba kupigwa kibao na Wema Sepetu wakati alipokuwa kwenye show zake huku sababu ikitajwa kuwa ni mwanamke aliyezaa na Chalz Baba.
Sasa Ayo TV na millardayo.com zikafanikiwa kumpata Chalz Baba ambaye amejibu na kusema ni kweli Wema alimpiga kibao na alikuwa amekunywa pombe japo yeye hakuchukulia kama ishu kubwa. Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama Chalz Baba akielezea sababu za kupigwa kibao.
“Rich Mavoko hana stress, hajapungua mwili anafanya mazoezi, siwezi mkana” Lulu Diva
KAMA HAUNA SIFA HII USIMTONGOZE NANDY/ ANAMILIKI NYUMBA MBILI..?