Story ambayo inatrend leo September 4,2018 kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusiana na video ikimuonyesha staa kutokea kweye muziki wa Bongo Fleva Aslay ambaye anaonekana akiperform akiwa jijini London huku ukumbi huo ukiwa na watu wachache wasiozidi mia.
Show hiyo inadaiwa kuwa ilikosa promo huku wengine wakihusisha kuwa baadhi ya wasanii kama Ray C, Rosa Ree na Mh Temba walitakiwa kuperform kwenye show hiyo.
Bonyeza PLAY kuona mwanzo mwisho wa show hiyo na kukosa watu .
WOLPER KASEMA: “Mimi ni Rihana wa bongo, hakuna Designer wakunishinda”