Muimbaji Baraka the Prince amezungumza na kukiri kuwa kwa sasa hali yake siyo nzuri kiuchumi tofauti na zamani kutokana na kushindwa kujihudumia baadhi ya vitu ambavyo kwa zamani aliweza kufanya, Baraka amesema kwamba hawezi kuweka wazi moja kwa moja kuwa amepoteza kiasi gani na hajutii hilo kwani ni hali ya kawaida kwa mtu yeyote kuyumba kiuchumi.
Bonyeza PLAY hapa chini kutazama Sehemu ya kwanza ya BARAKA akielezea.
ULIPITWA NA HII: Wazazi wawa kikwazo Izzo Bizness kuwazungumzia watoto
VIDEO: Mashindano ya Mr Tanzania yamerudi tena, hivi ndo vigezo