Muigizaji Lulu amesema kuwa mpenzi wake Majizo ambaye amemvisha pete ya uchumba hivi karibuni amekuwa kama Baba kwake kwani ni mtu wa kuvaa uhusika tofauti tofauti hadi kumfanya ajisikie upendo wa Baba. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama.
“Tunda aliwahi kuwa mpenzi wangu, nasikia kaachana na Casto arudi tufunge ndoa”