Siku ya leo September 12, 2018 mwili mtayarishaji wa muziki Pancho Latino umeagwa katika ibada fupi iliyofanyika katika Hospital ya Lugalo ambapo baadhi ya wasanii pamoja na watu maarufu walihudhuria ibada hiyo na baadae kupata nafasi ya kuzungumza na Ayo TV pamona na millardayo.com
Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO
BDozen “Fiesta leo tutamuenzi Pancho Latino katikati ya Show”