Muimbaji mkongwe kutokea nchini Marekani Toni Braxton(51) amepewa nafasi ya kuchagua tarehe rasmi ya harusi na mchumba wake Birdman (49) ikiwa ndani ya siku 48 awe tayari amekamilisha zoezi hilo.
Kupitia mahojiano aliyoyafanya Toni Braxton na kipindi cha The Wendy Williams amefunguka na kusema kuwa tayari tarhe za harusi zilikuwa zilishapangwa lakini ugumu ulikuja kwa dada zake kubanwa na majukumu siku hizo na ndipo Birdman alipompa nafasi ya kupanga tarehe nyingine.
“Tumekuwa marafiki mimi na Birdman kwa miaka 17,nampenda sana hata mama yangu alipomuona alisema kuwa urafiki wenu unaweza ukawa una kitu zaidi ndani yake, harusi haikuweza kufanyika kwa sababu ya ratio za dada zangu”>>> Toni Braxton
Inaelezwa kuwa uhusiano wa kimapenzi kati ya Toni Braxton pamoja na Birdman ulianza May 2016 lakini hawakutaka kuweka wazi mpaka ilipofika February 2018 indigo walipotangaza .
https://youtu.be/Vh_eM9d3flM
Kitu Kingine Kipya wametuletea Monalisa na Adam Mchomvu ISIKUPITE