Kwenye maisha hutakiwi kukata tamaa, kutana na sehemu ya mwisho ya Mtanzania Bori ambaye alizamia Ujerumani kwa kutumia boti kutokana na ugumu wa maisha alioupata aliamua kumuoa mzungu ili apate documents za kuishi nchini humo hii ni baada ya kupitia misukosuko mingi.
Bonyeza PLAY kutazama sehemu ya mwisho ya simulizi hiyo ya Mtanzania Bori.
ULIPITWA NA PART 5 MISUKOSUKO? “NILIKATA TAMAA, NILIPOTEZA MAWASILIANO NA WAZAZI WANGU”