Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola amewatengua Makamanda watatu wa Mikoa ambao ni Kamanda wa Ilala, Salum Hamduni, Emmanuel Lukula wa Temeke na Kamanda wa Arusha, Ramadhani Ng’azi
Waziri Kangi Lugola asema wameshindwa kutekeleza maagizo yanayotolewa kwao, amewatuhumu kwa kujihusisha na rushwa pamoja na kuwalinda Askari wanaohusishwa katika kusindikiza utoroshwaji wa bidhaa na Dawa za kulevya.
INASIKITISHA: MWILI UMEOKOTWA MTARONI UKIWA NDANI YA KIROBA