Viongozi wa madhehebu ya Dini Mkoani Kagera leo January 18, 2019 wamefika kwa Mkuu wa Mkoa Brigedia Gugati kwa lengo la kueleza msimamo wao juu ya maendeleo ya Mkoa na Taifa kwa ujumla huku wakilaani vitendo vya baadhi ya watu kutumia Dini katika mambo ya Kisiasa.
MWISHO MKASA WA ASIA: “ILIKUWA NGUMU KUKUBALI KUKATWA MIGUU, KUTOA KIZAZI”