Top Stories

RPC Arusha yupo kazini, atangaza kukamata fedha bandia (+video)

on

Kamanda wa Jeshi la polisi Mkoani Arusha Ramadhan Ng’anzi ameendelea na operesheni japo Waziri Lugola alitangaza kumuondoa katika Mkoa huo ambapo leo amekamata fedha bandia kutoka Mataifa zaidi ya 12 pamoja na kukamata gari iliyokuwa imeibiwa wakati ikiwa katika taratibu za kuuzwa.

ASKOFU KILAINI “WATU WANAOINGIZA SIASA KWENYE DINI WE PIGA TU”

Soma na hizi

Tupia Comments