Msanii Madee amefunguka baadhi ya mambo ikiwemo swala la kutambulishwa mchumba mpya wa Dogo Janja, ikiwa ni pamoja na kudaiwa kumpiga vijembe mkwe wake Irene Uwoya, Pia Madee ameongea kuhusu wale wanao andika vibaya kuhusu maisha anayoishi na binti yake Chonge mtandaoni.
Bonyeza PLAY hapa chini kutazama FULL VIDEO.
EXCLUSIVE: Janja Kafunguka penzi lake jipya “AMENILIPA ZAID YA M.5”
VIDEO: KIJANA WA MIAKA 23 ALIYEACHA CHUO KISA UMASKINI WA KWAO, ANAINGIZA ZAIDI YA M.1 KILA MWEZI