Baada ya kutoka Dubai Rose Ndauka amezungumza kuhusu safari yakeikiwemo kile kilichompeleka Dubai huku akiwa ameacha gumzo mtandaoni kuhusu kumfungulia kesi MC PILIPI ambaye aliwahi kuongea kwenye interview kuwa amewahi kutoka na Rose kimapenzi.
Hata hivyo MC Pilipili alimuomba Rose msamaha kupitia Instagram page yake. Sasa AyoTV na millardayo.com zimempata Rose Ndauka na amefunguka kuhusu hayo yote.
BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA VIDEO
ARISTOTE: MASTAA WATANO WANAOVAA NYWELE ZA GHARAMA BONGO
KASHESHE!! Mpenzi wa Dogo Janja vs Uwoya? Aristoste kafunguka wa Janja kiboko