Msanii wa nyimbo za injili Dr Ipyana ambaye amefahamika zaidi baada ya wimbo wake wa ‘Hata hili litapita’ kupata umaarufu zaidi kwenye matamasha mbalimbali ya injili amezungumza kuhusu Album yake mpya anayopanga kuiachia yote huku akielezea kuwa ametumia zaidi ya million 40 kuiandaa ablum hiyo.
BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA DR IPYANA AKIFUNGUKA.
EXCLUSIVE: Rose Ndauka asimulia MC Pilipili alivyomgombanisha na mpenzi wake