January 23, 2019 Jeshi la Polisi Mkoani Manyara linamshikilia Sesilia Paskali kwa tuhuma za kumuua kwa kumchinja kwa kisu mtoto wake wa kumzaa wa miezi sita Flora Theophil.
RPC Manyara Agustino Senga aligombana na Mume wake kwa kile kinachoelezwa kuwa ni wivu wa kimapenzi kwamba amekuwa akipokea simu ya mumewe, ikisikika sauti ya mwanamke ambaye hamfahamu na kuhisi ana mahusiano nae hali iliyopelekea ugomvi.