Gwiji wa klabu ya Chelsea Didier Drogba jana usiku alirudi nyumbani Stamford Bridge lakini akiwa anaichezea Galatasaray dhidi ya Chelsea, timu iliyochangia ujazo mkubwa sana kwenye jina lake
Katika mchezo huo wa jana ambao Chelsea walishinda 2-0 na kufuzu kucheza robo fainali ya Champions League, Chelsea iliamua kumtunukia Drogba zawadi ya kiatu cha silver chenye rangi ya bluu kwa ndani kabla ya game kuanza. Zawadi ya kiatu aliyopewa Didier Drogba na Chelsea