April 18, 2019 Mbunge wa Ulanga Goddluck Mlinga kahoji Serikali ina mkakati gani wa kusaidia upatikanaji wa dawa za kifafa ugonjwa ambo unatajwa Mkoa wa Morogoro ndio unaongoza kwa wagonjwa wengi, Majibu yakatolewa na Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndungulile.
UTANI WA SPIKA NDUGAI KUHUSU WAGONJWA WA VICHAA “POMBE IKIKUBALI”