Ni headline kutokea bungeni Dodoma leo April 18, 2019 ambapo miongoni mwa kubwa zilizowavutia wengi ni pamoja iliyotokea wakati wa kipindi cha maswali na majibu Bungeni ambapo Spika Job Ndugai aliamua kuwafurahisha Wabunge wake kwa kutania kwamba Dodoma ilipata bahati ya kipekee ya kujengewa hospitali ya vichaa yenye umaarufu wa hospitali ya Mirembe.
UTACHEKA NA VISWAHILI VYA ZANZIBAR VILIVYOTAWALA BUNGENI LEO