Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) leo imetoa taarifa kuhusu Kimbunga kiitwacho ‘Kenneth’ ambacho kitaambatana na mvua kubwa na upepo mkali unaofikia na kuzidi kasi ya kilometa 80 kwa saa, vyote hivyo vinatarajiwa kujitokeza katika ukanda wa pwani ya kusini, bonyeza play kwenye hii video hapa chini kupata taarifa kamili
RPC ARUSHA, MASHUHUDA WAZUNGUMZIA AJALI
EXCLUSIVE: “HATA NIKIFA LEO SINA CHA KUJUTIA” ASEMA MR. NICE, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA MR. NICE MWANZO MWISHO