Afisa Mwandamizi wa Ubalozi wa Tanzania Nchini Beijing China Said Hussein Massoro ameongea na AyoTV kuwa ni kweli Mrembo anayefahamika kwa Jina ‘Binti Kiziwi’ yuko Gerezani Hongkong na Si kweli kuwa ameshanyongwa, ‘Nafahamu yuko Gereza la Wanawake HongKong na anaendelea na Kifungo chake”.
KAMISHNA AOMBWA KUWAPA VYETI WAFUNGWA WANAPOMALIZA KIFUNGO