Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemwagiza Waziri wa TAMISEMI kutoa kibali cha ujenzi wa kituo cha afya kwa Taasisi ya Al-Hikma katika eneo la Temeke lililo wazi jirani na taasisi hiyo kuanzia leo May 19 hadi kufikia May 24 kibali hicho kiwe kimekamilika.
“Namuagiza Waziri wa TAMISEMI kuhakikisha kuwa kuanzia kesho mpaka Ijumaa Taasisi ya Alhikma inapewa eneo waliloomba eneo la Temeke ili waweze kujenga Kituo cha Afya kama walivyoomba” Rais Magufuli#MashindanoYaQURAN#MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/JBZ2FrIc37
— millardayo (@millardayo) May 19, 2019