Mkurugenzi wa Jiji la Arusha amemtaka Mhasibu wa Halmashauri ya Jiji la Arusha Charles Jacob kujisalimisha Polisi kwa madai ya kushirikiana na Maofisa wa Mizani ya Morombo na kuisababaishia hasara Serikali ya Million 85.
MKASA WA MKE ALIECHOMWA NA MKAA MAGUNIA MAWILI, DC ADHURU ENEO LA TUKIO