Usiku wa December 21, 2019 msanii Shilole alifanya party ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa na shughuli hiyo alifanyia katika mgahawa wake wa Shishi Food ambapo alialika baadhi ya mastaa na watu wake wa karibu, sasa ilipofika time ya kukata keki mtu wa kwanza kumlisha alikuwa mumewe Uchebe ambaye walilishana naye kimahaba zaidi.
Bonyeza PLAY hapa chini kuona ilivyokuwa.