Lulu Hassan ni mtangazaji wa habari nchini Kenya kupitia Citizen TV ambaye ameolewa na mtangazaji mwenzie Rashid Abdalla na wawili hawa wamezidi kupata umaarufu zaidi baada ya kuanza kutangaza kipindi kimoja cha habari.
AyoTV na millardayo.com zilimpata Lulu na kuzungumza naye kuhusu kazi yake na kama kuna changamoto anaipitia kwenye kazi wakati akitangaza na mumewe.
Bonyeza Play hapa chini kutazama alichozungumza Lulu Hassan