NI Mei 11, 2020 ambapo Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kilitangaza kuwafukuza uanachama wabunge wanne akiwemo Mbunge Mbunge Silinde
Kitu ambacho kimenishangaza ni uamuzi wa kitoto wa CHADEMA, huwezi kumfukuza Mtu ambaye haujamuita hujampa mashtaka yake maana mambo yote nilipaswa kuelezwa kwamba kosa lako ni hili, kuna utaratibu wa kumhukumu Mbunge, huo utaratibu haujafanywa”-SILINDE
LICHA YA KUFUKUZWA CHADEMA, LWAKATARE ASIMAMA BUNGENI NA KUTOA HOJA ZAKE WIZARA YA ARDHI