Jana Baraza la sanaa la Taifa BMT limetangaza rasmi kuanza kuchukua maoni kuhusiana na mapendekezo yaliyotolewa na serikali kuhusiana vilabu vya soka Tanzania kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni wanaosajiliwa.
.
Kwa sasa timu moja Tanzania inaruhusiwa kusajili wachezaji kumi tu wakigeni lakini serikali kupitia waziri mwenye dhamana ya michezo Dr Harison Mwakyembe wamependekeza idadi ipungue na sasa wanapokea maoni ili watangaze rasmi idadi itakuwa ngapi.
.
AyoTV imefanya EXCLUSIVE interview na Juma Kaseja ana maoni gani wapunguzwe au waendelea kubaki, Walter anaamini inawezekana kabisa wageni wakaachwa walete changamoto sababu ni timu tatu mpaka tano ndio zina uwezo wa kusajili wageni lakini so katika jumla ya wachezaji 600 wa timu za Ligi Kuu sio mbaya kukiwa na wageni 50 au hata 100.
VIDEO: “UKITOKA SIMBA NA YANGA HUWEZI KUCHEZA, WAMEKINAI MAZURI YA KASEJA”