Miongoni mwa ndoa za mastar ambazo zimetajwa kufungwa kimya kimya ni pamoja na ndoa ya Kalapina ambayo imejaaliwa kupata mtoto mmoja,ndoa hii inasemekana imevunjika kimya kimya kama ilivyofungwa na hapa msikilize Soudy Brown akiongea na Kalapina mwenyewe.
Sababu kubwa ikitajwa kuwa ni mazoea ambayo mke wake kayatengeneza kwa Wanaume’
Jibu alilolijibu Kalapina ni >>’Hapana sio kweli’ kisha akakata simu.
92.9 Clouds Fm inasikika ukiwa Iringa.
Bonyeza play kusikiliza.