Huu ni mwisho wa mwaka, moja kati ya story zinazochukua headlines ni zile ambazo zinazungumzia rekodi mbalimbali zilizowekwa kwa kipindi chote cha mwaka 2014.
Victoria Kimani ameweka post hii katika ukurasa wake wa Instagram, ni rekodi inayoonyesha video za wasanii wa Kenya ambazo zimetazamwa na watu wengi zaidi kwenye mtandao wa Youtube.
Post hiyo ameiandika hivi; “According to YouTube. …. These are the Top 10 most watched music Videos in Kenya for 2014. Thanks for helping me make that list guys! #PROKOTO. Let’s get #SHOW to #1 2015 “– @victoriakimani
Kitu exclusive cha kukupa mtu wangu ni kwamba kumbe ile video ya Sauti Sol ambayo ilipigwa marufuku kupigwa kwenye TV za Kenya ndiyo inayoongoza kwenye list hii!
- Sauti Sol – NISHIKE (TOUCH ME) Official Music Video
- Willy Paul feat. Size 8 – Tam Tam Remix (Official Video)(@willypaulbongo)
- Sauti Sol – SURA YAKO Official LIPALA Dance Instructional Video feat. Sarakasi Dancers
- Elani – Kookoo [@elanimuziki]
- Jaguar Kioo (Official Video) Main Switch
- Bahati – Barua (Official Video)
- Elani – Milele [@elanimuziki]
- Mfalme Wa Mapenzi -Sanaipei OFFICIAL ULTRA HD VIDEO
- Kitanzi – Willy Paul & Gloria Muliro [GloriaMuliroTV]
- Victoria Kimani – Prokoto (Official Video) ft. Ommy Dimpoz, Diamond Platnumz
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook