Habari za Mastaa

VIDEO: Chimbo jipya la Shishi food, Shilole kafunguka kuwekeza milioni zaidi ya 28 kwenye ujenzi

on

Msanii Shilole ameionesha AyoTV na millardayo.com chimbo lake jipya la biashara ya Shishi food baada ya kuhama pale alipokuwa zamani kutokana na eneo lile kuuzwa na ndipo alipoamua kutafuta eneo lake mwenyewe lililokuwa kichaka na kufanya ujenzi aliodai kumgharimu zaidi ya shilingi milioni 28.

Bonyeza PLAY hapa chini kuona eneo hilo na kumtazama Shilole akielezea.

Soma na hizi

Tupia Comments