Msanii wa filamu nchini Rammy Galis amepata shavu la kuwa balozi wa City Mall kwa lengo la kuitangaza kibiashara ikiwemo upande wa Cinema ambayo itazinduliwa Weekend hii na kutoa fursa kwa waigizaji wa Bongomovie kupeleka movie zao katika kumbi za Cinema za hapo kwa lengo la kukuza tasinia ya filamu.
Bonyeza PLAY kutazama VIDEO
EXCLUSIVE: Baba wa Masogange anategemewa kuzindua Movie aliyoshiriki Mwanae