Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Dalali aliyemuuzia nyumba Diamond kafunguka kila kitu kuhusu mjengo huo mpya

on

Baada ya Diamond kuonesha mjengo wake mpya AYO TV imempata dalali aliyefanikisha mjengo huo kupatikana ambapo ametaja gharama za mjengo huo na jinsi ilivyokuwa mpaka Diamond Platnumz akainunua na kusema kuwa kabla ya Diamond kununua nyumba hiyo alimuonesha sample ya nyumba kumi ndipo akaichagua hiyo.

Dalali huyo anayefahamika kwa jina la Skoba maarufu kama Dalali Mwanamke amesema kwamba nyumba hiyo Diamond alinunua kwa gharama za Tsh Billion moja na anategemea kuzindua rasmi radio yake na Tv katika mjengo huo February 2, 2018.

Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza KILA KITU

“Diamond anamiliki nyumba 29 hii ndiyo nyumba ya gharama sana”

Soma na hizi

Tupia Comments