Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Baada ya kumaliza PHD Dkt. Isaac Maro wa Clouds FM “Nimefungua Hospitali”

on

Ayo TV na millardayo.com imefanya interview na Dr Isack Maro ambaye ni mtangazaji wa Clouds FM na hii ni baada ya kumaliza masomo yake nchini Japan ambaye ameelezea safari yake ya masomo ikiwemo na hili la ujio wa kituo chake kipya kitakachotoa huduma za kiafya ambayo inapatikana Dar es Salaam.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama video.

GOODNEWS: Ukumbi mpya wa cinema DSM, Rammy Galis apata shavu 

EXCLUSIVE: Baba wa Masogange anategemewa kuzindua Movie aliyoshiriki Mwanae 

Soma na hizi

Tupia Comments