Shangwe la After Skul Bash kwenye ufukwe wa bahari ya hindi
Share
5 Min Read
.
SHARE
.
Xxl ya cloudsFM kila mwaka hufanya party ya wanafunzi wote waliofunga shule ikiwa ni pamoja na wa shule ya Msingi,Sekondari,kwa pamoja party hii inaitwa Afta xcul Bash,hii imefanyika December 13 2014 Escape 1 Mikocheni Dar es Salaam.
Miongoni mwa wasanii waliotumbuiza kwenye tamasha hilo akiwemo,Young Killer,Ben Pol,Youg Dee,Vanessa Mdee,Ommy Dimpoz,Stamina,Joh Makini,G Nako,Mr Blue,Madee,Chege Chigunda,Mh.Temba,Quick Rocka,Babu wa Kitaa, na wengineo.
..........Dj Fetty kutoka XXL Clouds FM ..Huyu ndio mtu aliyefanana na marehemu Albert Mangwea....Msami kwenye stage ya After Skul Bash akitumbuiza.Adam Mchomvu kutoka Double XXL ya Clouds FM akisherehesha tamasha la After Skul Bash.M Rap akiimba jukwaani.Kundi la Makomando wakitumbuiza jukwaani..Rich Mavoko akitumbuiza jukwaani kwenye tamasha la After Skul Bash..Ben Pol kwenye stage.Barnaba akiimba wimbo wake unaofahamika kama Wahalade jukwaani..Vanessa Mdee..Country Boy kwenye stage ya After Skul Bash.Country Boy na Babu wa Kitaa jukwaani .Mkata Mkaa Chege Chigunda jukwaani...Madee akiwaimbia mashabiki single yake ya Pombe Yangu..Mwamba wa Kaskazini Joh Makini na G Nako wakitoa burudani jukwaani ....Mr Blue akitoa burudani jukwaani.Nickson George,Dj Zero,Adam Mchomvu na Dee Andy wakiwa jukwaani kwenye tamasha la After Skul Bash lililofanyika Des 13 Escape Mikocheni.Quick ROcka na Young Dee wakitoa burudani .Ommy Dimpoz akitoa burudani na Dancer wake kwneye tamasha la After Skul Bash..Young Killer na Stamina wakitoa burudani....Adam Mchomvu kutoka XXL Clouds FM akisherehesha tamasha hilo .Shabiki akirekodi show ya msanii kwenye tamasha hilo.ROma Mkatoliki akitoa burudani....Huu ndio umarti uliojitokeza kwenye tamasha la After Skul Bash.
Unahitaji kupata story zote kali zinazonifikia? Ni rahisi sana mtu wangu.. Niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitterInstaFacebook