Mgombe Urais kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu amewaahidi wananchi wa Tabora akipata ridhaa ya kuteuliwa kuwa Rais katika Uchaguzi Mkuu wa Octoba 28 ataboresha Sekta ya Afya.