Top Stories

PICHA 8: Lema alivyomtembelea Mama Mzazi wa SUGU nyumbani kwake

on

Leo February 4, 2018 Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema akiongozana na Mbunge wa Tandahimba Katani wa CUF wamemtembelea Mama mzazi wa Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’.

Wakiongozwa na Mbunge viti maalumu mkoa Mbeya CHADEMA Sophia Mwakagenda wameongea na Mama Mbilinyi. Nakusogezea picha ilivyokuwa shuka chini kutazama.

JPM KWENYE SHEREHE ZA KUMUWEKA WAKFU ASKOFU JACKSON SOSTHENESI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments