Rais Samia ameelezea masikitiko yake kuhusu ajali ya ndege ya Shirika la Precision iliyotokea leo katika Ziwa Victoria, Mkoani Kagera.
“Natuma salamu za pole kwa wote walioathirika na ajali hii, tuendelee kuwa watulivu wakati huu zoezi la uokoaji likiendelea huku tukimuomba Mwenyezi Mungu atusaidie”