Rapper kutokea Marekani J. Cole ameweka wazi kuwa Album yake ya “Revenge Of The Dreamers 3” itaachiwa rasmi Ijumaa ya July 5,2019 na ameandika good news hizo kupitia ukurasa wake wa twitter ambapo aliandika “Revenge of the Dreamers itadondoka Ijumaa hii”.

Mmiliki wa record Label ya Dream Ville amefunguka kwenye mtandao wa XXL na kusema kuwa kulikuwa na nguvu ya kila aina kipindi wana-record kwa ajili ya Album hiyo na kuna wakati ugumu ulikuwepo pale kwenye kukusanya nguvu hizo na kuhakikisha wanapata Album hiyo alisema Ibrahim Hamad.
VIDEO: MUZIKI WA ALIKIBA UMEMFIKIA KAMANDA WA POLISI KAGERA