Baada ya Mshindi wa mashindano ya Bongo Star Search Meshaki kudai kuwa bado hajalipwa fedha zake alizoahidiwa na uongozi wa BSS baada ya kuwa Mshindi wa msimu uliopita.
Sasa AyoTV na millardayo.com imempata Chief Judge wa mashindano ya Bongo Star Search Madam Rita Pamoja na Master J ambaye aliyekuwa Judge kwenye mashindano hayo na haya ndiyo yalikuwa majibu yao.
Bonyeza PLAY hapa chini kuwasikiliza
VIDEO MPYA YA ALIKIBA, HAMISA MOBETTO KATUMIKA VIDEO VIXEN