Habari za Mastaa

Alichowahi kujibu P Funk kuhusu Paula na Kajala kushambuliwa mtandaoni ‘Hakunisikiliza’

on

Mtayarishaji mkongwe kutokea Bongo Flevani,  P Funk Majani ambae pia ni Mzazi mwenza na Mwigizaji Kajala kupitia mtoto wao Paula aliwahi kuhojiwa na Millard Ayo kuhusu mtoto wake Paula na Kajala kushambuliwa mtandaon.

Mimi niwe mkweli sipengagi kuficha na mzazi mwenzangu niliwahi kumwambia kama usifanya hivi sio leo wala jana kama anataka mtoto wetu aishi katika mazingira mazuri asimuwe hadharani lakini imeenda tofauti na vile ninavyotaka’- P Funk

Soma na hizi

Tupia Comments