Habari za Mastaa

Alikiba: “Kweli amerudi Mombasa ndoa mtihani, nimechukua muda, Abdu kanishangaza, Tommy Flavour”

on

Exclusive kwenye On AiR with Millard Ayo, Alikiba na Abdukiba wamezungumzia mengi ikiwemo usajili wa Tommy Flavour kuingia Kings Music, habari za kuvunjika kwa ndoa zao, ujio wa Unforgettable Tour, mkataba wake na SONY, Nyimbo zao 3 bora za mwaka 2019, kwanini Rais Magufuli ni Favourite President kwa Alikiba, maoni yake kuhusu yanayomtokea R.Kelly na mengine, bonyeza play kwenye hii video hapa chini kutazama

EXCLUSIVE: VANESSA ALIVYOKUTANA NA ROTIMI “AMENIBADILISHA COMPLETELY NIMEANZA KUISHI NILIVYOSTAHILI”

MIMI MARS: “SITAKI WANAUME WA KITANZANIA TENA”

Soma na hizi

Tupia Comments